2 Kings 17:7

Israeli Inakwenda Uhamishoni Kwa Sababu Ya Dhambi

7 aYote haya yalitokea kwa sababu Waisraeli walikuwa wametenda dhambi dhidi ya Bwana Mungu wao, ambaye alikuwa amewapandisha kutoka Misri akiwatoa chini ya utawala wa nguvu wa Farao mfalme wa Misri. Waliabudu miungu mingine
Copyright information for SwhNEN